Monday, February 22, 2016

Team Water

Team water imekua gumzo katika mitandao ya kijamii  tangu  muigizaji na mtayarishaji wa filamu tanzania maarufu kwa jina Visent Kigosi 'Ray' baada ya kotaa siri ya ngozi yake.

Ilikuwa katika kipindi kinachorushwa Ea TV cha Nirvana, ndipo Ray alisema wala hatumii Mkorogo isipokuwa weupe wake unatokana na Utumiaji wa maji kwa wingi na kufanya mazoezi ndio siri ya weupe wake




Tayari katika mitandao ya kijamii zimeibuka TEAM WATER, ambao wameunga mkoni kauli ya Ray ikiwa kunywa maji kwa wingi ili waweze kuwa weupe.
Lakini siri nzima ya weupe huo upo ndani ya filamu ya Tajiri mfupi, ambayo Ray amefanya vitu vingi hasa katika, baada ya kuigiza kama mwalimu wa mazoezi huku akinywa maji kwa sana.
sasa imekua hiviiii

0 comments:

Post a Comment